mavangah
Senior Member
- Sep 9, 2015
- 113
- 23
Habar ya muda huu wakuu_nko mwanza kikaz lakin nahtaj laptop kwa ajili ya masomo ya IT lakin kwa bahat mbayaa nmezunguka sana hpa mwanza mjini na kugundua maduka meng yana poor quality laptops yaan nying n feki za mchina, na bei yao iko juu sana.
Nmepita ktk maduka yafuatayo:
Bhatt electronics. ..Ran solution. ..A&a computer na duka moja la muhind pale seif plaza.
Hivo naomba msaada wenu wakuu kwn m nahtaj HP mpya yenye
Hard disk 500gb 4gbRam
Natanguliza shukran za dhat kwenu
Ahsanteni.