Unatumia computer aina gani? je hiyo comp ina hardware bluetooth coz hauwezi kufunga drive wakati mashine haisupport bluetooth,kama ikishindikana kabisa tumia bluetooth dongle.Tafadhali naomba mnisaidie, ninataka kutumia simu yangu kuingia kwenye internet lakini nataka nikiwasha simu niunganishe na laptop yangu kwa bluetooth, sasa sina wireless bluetooth software???? siyo kutumia bluetooth gadget bali nataka communication ya simu na computer iwe kwa wireless through bluetooth;;;;I hope you understand wataalam wangu....Saidia software
mnhhh edge high speed?? Gprs high speed?? Hio lugha ya kibiashara tu gprs yenye kasi zaidi duniani inarange 90 mpaka 99kb/ps kibongo bongo edge na gprs ipo 6kb/ps hadi sanyengine 2 sumtime 0.5
Viongozi naomba msaada wenu wa kupata drivers kwa ajili ya "HIGH SPEED EDGE/GPRS MODEM maximum transmitting speed 460.8 KBps". Nimejaribu bila mafanikio kui-google.
Nahdhani umeshindwa google sababu hukufafanua ni modem gani unatafuta driver zake
Ni sawa sawa useme unatafuta High definition drivers za monotor au VGA. bila kutaja speciific model ya monitor
Mkuu kilichonifanya kuomba msaada ni kwasababu maelezo ya modem katika box lake hayakujitosheleza. Maelezo yaliyoandikwa ni hayo niliyoyatoa. Kutokana na utata huo, niliamua kuweka PICHA ya modem hiyo ili kama kuna mwanajamvi anayo au anaifahamu anisaidie. Vinginevyo, nisingekuwa na haja ya kuwasumbueni wanajamvi kwavile abc za mitandao hazinipigi chenga!
Kaka nime click hiyo attachment yako inaniambia "invalid attachment specified. if you followed a valid link, please notify the administrator" mwisho wa kunukuu! Kiongozi kama ni utani ungesema ingawa mimi siyo mtani wako!
Sasa imeshakuwa soo. Utenzi huu naona hautaisha!Sasasa mkuu mbona unaonekana uko desparete sana. Ujumbe huo uliioupata kama umeeulewa basi ungewasilaiana na admin. Yaani muandikie inivisible au muombe jamaa akuweke kwenye file sharing site.
Kama na wewe unatutania huna tatizo tumabie tuambie teh teh teh teh .
Anyway kifupi na mm nimejaribu kufungua nimepata ujumbe huo huo so my be ni file extension ya exe. Wanaweza kuwa wameset watu wasiwekwe executable file.
Otherwise shorabaoro ajaribu kuli zip hilo file may be atakutoa
Yaah mtazamaji amesema sahihi kabisa ungefatisha maelezo ya hiyo msg...
anyway nime upload hio kama .rar na nimeona kuwa ipo supported....so kama ni lazima ni upload tena...na mtu mwenyewe ushapoteza uaminifu dah...unadhani nikusaidiaje....contact mr invisible na mueleze akusaidie na hiyo attachment. sina msaada zaidi