Msaada wa download speed

Msaada wa download speed

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
804
Reaction score
956
Mahali nilipo natumia vodacom , tatizo nililo nalo ni kupungua kwa speed ya mtandao sekunde chache baada kuconnect modem.
Nimejiunga bila kikomo ya voda, ninapokuwa nadownload na idm, nikidisconnect connection alafu nikaconnect tena download speed inaanzia 600kb/s lakin baada ya sekunde kadhaa inashuka mpaka 20kb/s...
Shida nini hapa ?, kwanini haibaki kwenye speed ya juu? Je kuna njia ya kusolve ili tatizo. Msaada pls.
 
Back
Top Bottom