CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,628
- 990
Nina unlocked modem Huawei yenye download speed inayofika 7.2Mbps. ofkoz mitandao yetu haifikishi download sleed hiyo. Sanasana kunabaadhi ya sehemu (mijini) Vodacom / AirTel watafikisha 1.7Mbps HSDPA ( High-Speed Downlink Packet Access ) Hii haina tofauti na ile modem ya ttcl wanayotumia kwenye landline ADSL (Asymmetric Digital Subscriber Line), Ni kweli kuwa kila mtu anatumia internet kwa shughuli tofauti. Yupo anaesoma tu emails, mpaka anae download DiVx Movies na kadhalika tatizo linakuja kwenye coverage ambayo unaweza pata hiyooo HSDPA. Kama hakuna signal za HSDPA basi utapata GPRS signals 10kbps ikipanda saana ni 30kbps ambazo download speed au hata kufungua internet page ni slow sana. kunawakati inashuka below 10kbps. epuka kitu inaitwa unlimited ndio hii speed utapewa Ni bora uwe na weak signal strength za HSDPA kuliko kuwa na full signal strength za GPRS. Ninachotaka kueleza hapa ni kuwa HSDPA coverage iwe ni Vodacom au AirTel inategemeana na sehemu ulipo. Na ukipata weak signa za HSDPA then jibane hapohapo kwa kufuata utaratibu huu (mobile partner dashboard) nenda kwenye: Tools:> Options:> , Network:> kwenye Network type chagua "WCDMA only" ili isiruke kwenda high signals za GPRS. Kama Modem yako ni unlocked, basi unaweza kuwa na line mbili ya Vodacom na AirTel na kama iko locked basi fuata hii link ili upate free unlock codes
https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/86955-free-huawei-modem-unlocking-codes-request.html
halafu unachagua data plan kulingana na mahitaji yako.
Airtel wao wanakupa
400mb kwa shilingi 2500/- na ni speed ya HSDPA.( ina expire baada mwezi )
15Gb kwa shilingi 15000/- na ni speed ya HSDPA. (ina expire baada ya wiki)
Vodacom wanakupa
50mb kwa shilingi 2000/- na ni speed ya HSDPA (ina expire baada ya mwezi)
3Gb kwa shilingi 90,000/- na ni speed ya HSDPA (ina expire baada ya miezi 3)
Zipo plan nyingi tu ila epuka kitu UNLIMITED.