Jinzi ya kuongeza download speed na kupata 3g internet.

Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
455
Kuna mambo kadhaa ambayo yanaathiri download speed yako au more generally your internet speed.
leo hapa nimeamua ku share some tips and tricks ambazo zinaweza kukupunguzia maumivu yanayoletwa na u slow wa internet yako.
bila shaka msafara wa magari hauwezi kwenda kwa kazi zaidi kuliko ile gari inayokwenda taratibu kuliko zote ambayo imo ndani ya msafara husiku. hii maana yake nini? maana yake hutopata spidi kubwa ikiwa kuna kizuizi fulani kinachokuzuia, kwa mfano ukiwa unatumia modem ya tigo au E153 au ile ya voda k3570 au k3571 hutopata speed zaidi ya uwezo wake wa 3.6Mbps.
lakini kama utatumia modem kama ya safaricom E173 au ile ya voda mf 190 ambayo uwezo wake ni 7.2Mbps. bila shaka kizuizi hicho umekivuka. to be honest nimewahi kupata mpaka 6.2Mbps kwa mtandao wa voda, wakati wa enzi zile za marehemu PROXIES.
by the way jambo la muhimu pia ni kujua kama eneo lako lina internet ya 3g au hamna. kama unakaa nje ya mji jaribu kufanya yafuatayo. nenda kwenye settings ya dashboard yako, mobile partner au tigo au join air au ..... ingia kwenye settings na chagua umts/hspda/ wcdma/ 3g only. halafu sema ok.

http://img33.imageshack.us/img33/6991/settingsw.jpg
nunua kisufuria au kidishi kidogo chenye shape ya parabola, cha chrome, au wengi wanaita ni cha aluminium lakini sio aluminium. ni chepesi sana bora tuseme cha bati lakini kile kinachongara na ku shine sana. kitoboe tundu katikati , tundu kiasi ya kupita ila modem tu, na kwa chini tumia waya wa usb extension cable kuunganisha modem yako na ule waya wa usb hadi kwenye komputa.
hizi ni picha zinazoonesha waya wa usb extension cable.
usb extension cable - Tafuta na Google
for maximum perfomance katafute waya uitwao shielded usb extension cable au active usb extension cable. ambao ni kama huo hapo pichani isipokuwa huo ukiutizama utaona kama una chuma ndani na unangara na ku shine hivi. kile chuma ndio hiyo shielding material ambayo inazuia miale isivuje kabla ya kuingia kwenye komputa.
miwaya hii ya shielded mimi nimenunua pale kariakoo mtaa wa uhuru na kongo kuna jamaa wanauza kila aina ya waya pale ila weye unaweza kupata popote upendapo. isiwe tuna fanya advertisement just tunarahisisha kazi.

http://img42.imageshack.us/img42/8471/kisufuria.jpg
sio mtaalamu sana wa kuchora lakini nahisi mchoro huo hapo utakupa picha ya ninachozungumza.

Sasa tuje kwa wale ambao 3g haina shida kwenye maeneo yao. hapo huwa haina ulazima wa kibakuli wala kisufuria but Elewa kuwa ile angle modem yako imekaa inaathiri sana upokelewaji wa signal. jambo hili wale wanaotumia modem ya zantal na ile ya sasatel ambao unaweza kurekebisha angale pale pale wanalijua vizuri. lakini kama modem yako ni ya single bar tu kama vile ya tigo E153 au ile ya voda pia unaweza kufanya tweek kwa kununua waya wa usb extension na kuitundika au kui hang to some angle. mara nyingi angle ya 45 degree ndio inayotoa matokea mazuri nakusudia speed nzuri.


http://img831.imageshack.us/img831/4918/45degree.jpg


jaribu kudownload file kubwa, kama mb 5 au zaidi. wakati downlaod manager wako yupo kazini jaribu kufungua dashboard yako, huku unaangalia downlaod speed. kila katika angle husika unayojaribu wacha itulie kwa angalau sekunde 40. hapo utajua ni angle gani utegeshee.
kwa kuchomeka modem yako moja kwa moja kwenye pc katika hali ya kulala hupati maximum speed jambo hilo nimeshalifanyia majaribio kwa mitandao yote na kwa maeneo tofauti na kwa modem tofauti.

conclusion: eneo lile lile , muda ule ule , ikiwa modem ipo angle ya about 45 degree basi speed ya internet ilikuwa ni 2.5Mbps na ilipowekwa sawa bila ya waya ilikuwa ni kama 1.4Mpbs. jaribu na uone. ulete feedback.

L9QoPBMBgGw2AYDINhMHz4wuAMYDAMhsEwGAbDYPgwhv8P7X+SbV7lcRwAAAAASUVORK5CYII=

haya sasa nakaribisha wale watu wa kupenda na wa kuponda.
i hope i helped
 
naona michoro na picha nilizoweka hazijatokea. nimejaribu ku attach some files kwenye post hii. inaonekana kuna technical diffuculties kwenye server ambayo JF ipo. but i will fix this soon
 
still i cant attach any picture, inaonekana kuna ubovu wa mitambo katika JF kwa kipindi hiki. ijapokuwa nina high speed internet ,system hairuhusu ku attach. kwa hiyo kuweni na subira
 
still i cant attach any picture, inaonekana kuna ubovu wa mitambo katika JF kwa kipindi hiki. ijapokuwa nina high speed internet ,system hairuhusu ku attach. kwa hiyo kuweni na subira


ngoja nirudi home nitaribu mkuu du hii kali ntakua nabeba sufuria na laptop
 
today mark the end of those free stuffs
 
Umewauzia watu wengi sana,ngoja wakudake!
---Believdat---

mie nilikuwa nauza vocha tu kaka. tena kwa bei rahisi. kiasi ambacho ukitumia siku moja tu imekulipa. na kwa guarantee ya 24hrs only.
 
Back
Top Bottom