Msaada wa Dola 700m chini ya MCC umeishia wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Dola 700m chini ya MCC umeishia wapi?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Zak Malang, Jun 23, 2010.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  WanaJF, naomba msaada wenu. Nauliuza hivi -- ule msaada wa USD 700 milioni ulioahidiwa na serikali ya Marekani chini ya mpango wa Millennium Challenge Corp umefikia wapi? Mkataba wa fedha hizi ulitiwa saini wakati aliyekuwa rais wa Marekani Bush alipokuja Tanzania Feb 2008.

  Baadaye mwaka huo huo Jk alitangaza kwamba barabara ya Tunduma-Sumbawanga ingeaza kujengwa kwa kiwango cha lami ifikapo december 2008 au Januari 2009 kutokana na fedha za msaada huo. jee hii barabara imeshaanza kujengwa?

  Mwenye kujua habari zaidi tunaomba atujuze.
   
Loading...