Msaada wa Digital Camera

Kwetu Iringa

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
355
88
Hodi wana JF!!
Nimenunua digital camera aina ya Sony Cybershot. Kwa bahati mbaya nilianza kuitumia kabla sija-set date. Sasa nashindwa kuseti date. Kumbe nilitakiwa kuseti date kabla sijaanza kuitumia. Kwa hiyo picha zinakuwa na wrong date.

Naomba msaada: Nifanyeje ili niweze kuseti date?? Tafadhali nisaidieni kwa wanaojua!!

Natanguliza shukrani
 

Kwa isiue zozote za za kifaa refence na kimbilio lakwanza huwa ni Manual. Kama huna manual tembelea tovuti ya watengenezaji .kulingana na model ya hiyo camera ambayo hujataja tafuta manual utapata maelekezo namnayakuset tarehe Nadhani hayo mambo yatakuwa kwenye kipengele cha setting

Otherise nimejaribu ku google nikakutana a na maelekezo haya yanayweza kuwa na msaada

so summary ya kutatua tatizo lako ni moja au yote kati ya haya Manual au google au tovuti ya watengezaji
 


Nashukuru sana tena sana!!! Nimefanikiwa. Wote mubarikiwe sana.
 
Kumbuka siku nyingine ukinunua kifaa ukumbuke hii kitu RTFM(READ THE ****ING MANUAL)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…