NOTHINH SPECILA THAN JUST CUTTING DOWN ALL CARBS NA FAT.
MWAMBIW AKAZE MOYO AFANYE HIVI:
WIKI YA KWANZA ATUMIE CABBAGE SOUP, AWEKE KAROTI NA HOHO ACHEMSHE. ALE NA MATUNDA. AHAKIKISHE HALI CARBS WALA FATTY FOODS.
WIKI YA PILI IWE NI YA MATUNDA TU NA FRESH JUICE. AHAKIKISHE ANAKULA NA MBOGA ZA MAJANI KWA WINGI.
WIKI YA TATU ANAWEZA KULA CARBS KIDOGO ILA MATUNDA NDO YAWE MENGI. ANYWE MAJI MENGI SANA HATA ZAIDI YA LITA NNE.
AKIMALIA HAPA SASA ANAWEZA RUDIA ILE YA WIKI YA KWANZA.
AFTER FOUR WEEKS AANZE KULA VYAKULA VYA KAWAIDA ILA ALE HALF PORTION YA ILE ALIYOZOEA.
NATUMAINI ITAMSAIDIA. IT WORKED FOR ME AS I LOST MORE THAN 10kg KWA MWEZI.
KIKUBWA NI COMMITMENT TU NA UVUMILIVU.
thanks brandon, nitamshauri ajaribu hii, maana ndo maana nilisema pale juu angalau iwe simple simple... Ila nitamshauri afanye hii maana yeye kuacha kula vinono ni kasheshe sana.. Ila nafikiri ni '' mtaka cha uvunguni........''
Mkuu chakula chochote kile au special foods??
Ndugu zangu, nina ndugu yangu ana umri wa miaka 30 na urefu wake ni kama ft 6.3 hivi, ila kwa hakika ni mnene ambao ameuchoka na unamkera sana, hasa tumbo... na kwa sasa ana kg 70 hivi, unene unamkera sana na ameshajaribu diet chache tofauti, hasa zile za kahawa, mbogamboga , matunda, yai na dried nyama... hii imemuwea ngumu kumalizia kwa sababu ya gharama yake na kupenda kula vyakula vya kiasili kabisa, kama wali chipsi , ugali, samaki
wana ndugu, hakuna simple diet ambayo naweza kumshauri(kutokea kwenu) ili aweze kupungua kidogo kidogo? si lazima ile ya faster sana? (ile yandani ya wiki mbili)
Mazoezi anafanya sometimes...
Mwambie afunge ndoa na demu kicheche, wiki mbili tu zitatosha , ataloose weight kuliko mgonjwa wa ukimwi. result guaranteed
Ndugu zangu, nina ndugu yangu ana umri wa miaka 30 na urefu wake ni kama ft 6.3 hivi, ila kwa hakika ni mnene ambao ameuchoka na unamkera sana, hasa tumbo... na kwa sasa ana kg 70 hivi, unene unamkera sana na ameshajaribu diet chache tofauti, hasa zile za kahawa, mbogamboga , matunda, yai na dried nyama... hii imemuwea ngumu kumalizia kwa sababu ya gharama yake na kupenda kula vyakula vya kiasili kabisa, kama wali chipsi , ugali, samaki
wana ndugu, hakuna simple diet ambayo naweza kumshauri(kutokea kwenu) ili aweze kupungua kidogo kidogo? si lazima ile ya faster sana? (ile yandani ya wiki mbili)
Mazoezi anafanya sometimes...
Haiwezekani hata siku moja kwa Umri huo 30,height ya 6.3 ft, kuwa na kilo 70 na KAMA NI KWELI BASI HUYO NI MGONJWA MWAMBIE HAONGEZE UZITO afya yake ipo matatani kwani FOMULA INASEMA Uzito gawa kwa kwa Height in Meters Square isizidi 27 na isipunguwe 23 sasa wako huyo ni 70Kg / 4 M ( 6.3 ft = 2 M) = 17.5 Amabayo kwa scale za wazungu huyo jmaa na ana KWASHAKOO!!
POINT OF CORRECTION MKUU,
BmI ISIPUNGUE 18.5 na isizidi 24.5. beyond hii then ndo wanasema kuwa ni overweight,then obesity type one,two,three.
sasa huoni huyu anataka apunguze uzito, mimi nadhani ni htari kwa afya yake hiyo diet!
aisee huyo ndugu yako mbona amekonda sana, yaani urefu futi 6.3 na uzito kg 70 mbona huyo ni mwembamba tu, labda kama umekosea katika hizo data.Ndugu zangu, nina ndugu yangu ana umri wa miaka 30 na urefu wake ni kama ft 6.3 hivi, ila kwa hakika ni mnene ambao ameuchoka na unamkera sana, hasa tumbo... na kwa sasa ana kg 70 hivi, unene unamkera sana na ameshajaribu diet chache tofauti, hasa zile za kahawa, mbogamboga , matunda, yai na dried nyama... hii imemuwea ngumu kumalizia kwa sababu ya gharama yake na kupenda kula vyakula vya kiasili kabisa, kama wali chipsi , ugali, samaki
wana ndugu, hakuna simple diet ambayo naweza kumshauri(kutokea kwenu) ili aweze kupungua kidogo kidogo? si lazima ile ya faster sana? (ile yandani ya wiki mbili)
Mazoezi anafanya sometimes...