Kituku
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 238
- 24
Ndugu zangu, nina ndugu yangu ana umri wa miaka 30 na urefu wake ni kama ft 6.3 hivi, ila kwa hakika ni mnene ambao ameuchoka na unamkera sana, hasa tumbo... na kwa sasa ana kg 70 hivi, unene unamkera sana na ameshajaribu diet chache tofauti, hasa zile za kahawa, mbogamboga , matunda, yai na dried nyama... hii imemuwea ngumu kumalizia kwa sababu ya gharama yake na kupenda kula vyakula vya kiasili kabisa, kama wali chipsi , ugali, samaki
wana ndugu, hakuna simple diet ambayo naweza kumshauri(kutokea kwenu) ili aweze kupungua kidogo kidogo? si lazima ile ya faster sana? (ile yandani ya wiki mbili)
Mazoezi anafanya sometimes...
wana ndugu, hakuna simple diet ambayo naweza kumshauri(kutokea kwenu) ili aweze kupungua kidogo kidogo? si lazima ile ya faster sana? (ile yandani ya wiki mbili)
Mazoezi anafanya sometimes...