Msaada wa dawa ya ugonjwa wa Arthritis

nsalu

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
715
500
Wadau mama yangu anasumbuliwa na huu ugonjwa hospitali anapewa pain killer tu. Naombeni msaada kwa wengine wanaofahamu tiba maana penye wengi hukosi msaada. Asanteni
 
rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
13,532
2,000
Mkuu pole sana...!! Lakini hili suala ni gumu kupata Tiba permanent so unachoweza kupewa ni dawa za kupunguza maumivu na pia epuka vyakula vinavyozidisha hali hio. Pia kuna dawa kama Allupurinol hutumika kama una High level ya Uric acid ambazo hupelekea kuongeza maumivu... Pole sana piga Diclofenac au Ibuprofen fresh tu.

Uongezea na Ketoprofen Ya Kupakaaaa au Diclofenac ya kupakaaa.
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,613
2,000
Wadau mama yangu anasumbuliwa na huu ugonjwa hospitali anapewa pain killer tu. Naombeni msaada kwa wengine wanaofahamu tiba maana penye wengi hukosi msaada. Asanteni
Arthritis ipi sasa?
Joint zipi zinasumbua na zinasumbua vp?.
Maana ziko arthritides nyingi

Rheumatoid arthritis?
Gout Arthritis?
Osteoarthritis?
Septic arthritis?
Spondyloarthritis?
 
Asante Sana ndugu yangu
 
nsalu

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
715
500
Arthritis ipi sasa?
Joint zipi zinasumbua na zinasumbua vp?.
Maana ziko arthritides nyingi

Rheumatoid arthritis?
Gout Arthritis?
Osteoarthritis?
Septic arthritis?
Spondyloarthritis?
Ni goti, mabega na mkono wa kulia ndiyo una maumivu makali sana
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,613
2,000
Nimeshamjibu Ni Rheumatoid Arthritis

Huu ugonjwa unaitaji expertise kidogo maana ni Autoimmune disease Kinga ya mwili inaishambulia joint...hivo iko very tricky kidogo kui manage.
Dawa za maumivu ni dawa za kuanzia ila pia huwa Zinaitajika dawa kama Disease Modifying Anti-Rheumatic Drugs, hizi utazipata katika consultant hospitals tu.

Nakushauri uende hospitali kubwa kidogo maana yake Hospitali za rufaa za kanda
 
Santos06

JF-Expert Member
Mar 11, 2019
710
500
Wadau mama yangu anasumbuliwa na huu ugonjwa hospitali anapewa pain killer tu. Naombeni msaada kwa wengine wanaofahamu tiba maana penye wengi hukosi msaada. Asanteni
tafuta prednisolone....na vitamin b complex problably inaweka kua rheumatoid arthritis
 
nsalu

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
715
500
Asante sana
tafuta prednisolone....na vitamin b complex problably inaweka kua rheumatoid arthritis
Asante Sana Sana ndugu yangu umenisaidia nitafuata ushauri wako. Ubarikiwe.
Ninao huu ugonjwa (rheumatoid) kitu ambacho nina uhakika nacho 100% ni kwamba bi mkubwa atakuwa anapitia maumivu makali sana, asikwambie mtu mifupa inauma mno haielezeki yale maumivu, hasa zile nyakati za flare...
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
5,193
2,000
Ninao huu ugonjwa (rheumatoid) kitu ambacho nina uhakika nacho 100% ni kwamba bi mkubwa atakuwa anapitia maumivu makali sana, asikwambie mtu mifupa inauma mno haielezeki yale maumivu, hasa zile nyakati za flare...
Dah duniani kumbe kuna magonjwa mengi sana ya hatari.
Kwa hiyo mkuu inamaanisha aliyepata ugonjwa huu anakuwa ni mtu wa kutumia dawa katika kipindi cha maisha yake yote?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom