- Thread starter
- #21
Sawa Asante nitaulizia pharmacy kubwa nione Kama nitapata. Huwa ana presha na sukari pia nitaulizia Kama hazina shida kwake.Hizi kuna jamaa yangu alinitumia kutoka nje, nadhani vinaweza kupatikana kwenye pharmacy kubwakubwa hapa kwetu.
NB: USITHUBUTU KUTUMIA DAWA KIHOLELA BILA KUMCONSULT DAKTARI KWANZA (ili aangalie severity ya ugonjwa, issue za alergies, side effects au mgongano wa dawa kwenye magonjwa mengine kama mgonjwa anayo)View attachment 1599135View attachment 1599134