Msaada wa dawa ya Typhord

Msaada wa dawa ya Typhord

mmongoro

Member
Joined
Mar 31, 2019
Posts
66
Reaction score
52
Ndugu zangu poleni na mihangaiko ya kila siku, nina omba anaejua dawa nzur ya typhod anisaidie.
 
Mimi hua natumia Ciprofloxacin ya vidonge,inafanya kazi vizuri na haraka...
 
Cipro ndo mtetezi wa nchi zetu Ila zipo Azithromycin ni the best Ila sizioni hapa kwetu kabisa
 
Ni kwel na nimeanza kutumia changamoto wanasema hazimaliz tatizo bali zinapoza tu
Owk sawa mkuu, lakin huyo aliekuambia ni dakatri au ni mfamasia? kama sio kati ya hao nakushauri utumie hyo dozi uliyopewa then uendelee kutunza afya yako!!
 
Sasa ulienda kupima afu hata dawa hujui za kutumia ukikutwa na tatizo. Ndo mana madawa nyingi zina feli.
 
Cipro ndo mtetezi wa nchi zetu Ila zipo Azithromycin ni the best Ila sizioni hapa kwetu kabisa
Sio kweli kuwa azithro hazipo vinginevyo huwa unaenda kuulizia kwenye maduka ya dawa muhimu na sio Famasi,!
 
Sio kweli kuwa azithro hazipo vinginevyo huwa unaenda kuulizia kwenye maduka ya dawa muhimu na sio Famasi,!
Azithro zinatofautiana hizi zilizopo ni mfano tu ndo maana sizihesabu Field Yangu hii
 
Azithro zinatofautiana hizi zilizopo ni mfano tu ndo maana sizihesabu Field Yangu hii
Acha kupotosha watu ,tofauti ni brand tu ila zote ni azithromycine dihydrate, tofauti ya makampuni tu kama tigo na zain ...
 
Ndugu zangu poleni na mihangaiko ya kila siku, nina omba anaejua dawa nzur ya typhod anisaidie.
Umepima hospital gani? Angalia sana sana asilimia kubwa ya watu wanaopima wakaambiwa wana typhod hawana! Nakumabia tena... angalia sana sana... hasa kama umepima hivi vihospital vya mitaani! Kama Uko Dar es Salaam nenda kapime hospital yoyote ya serikali au TMJ, Agakhan etc. Ni bora ukalipa hata bei kubwa kupima ili upate majibu sahihi kwani kutegemea majibu ya hospital uchwara kutaku-cost muda na fedha zaidi. Kwanza hiyo ya kusema tu kuwa eti dawa za hospital zinatuliza tu ni uongo mkubwa.
 
Owk sawa mkuu, lakin huyo aliekuambia ni dakatri au ni mfamasia? kama sio kati ya hao nakushauri utumie hyo dozi uliyopewa then uendelee kutunza afya yako!!
Mkuu nahisi jamaa hana typhod! Ni ule ule mwendelezo wa watu kuambiwa wana typhoid kwenye hizi hoapital za mitaani. Ajaribu kwenda hopstal inayoeleweka! Kwanza kitendo cha kusema eti dawa za hospital zinatuliza tu ni uongo mkubwa. Ugonjwa unatibika vizuru sana kama mgonjwa anameza dawa kama alivyombiwa na dawa ziwe za ukweli. Naona wakimdanganya kwenda kununua miti shamba au hizi wanazoita ''dawa mbadala'' ambazo wanauza ghali halafu ni za uongo kabisa.
 
Ndio nimepima na nimeandikiwa dawa lkn wanasema dawa za hsp zinatuliza tu na sio kumaliza tatizo
Wewe unataka dawa za bungeni? Kama huamini hospitali na dawa zake hivyo vipimo utaamini vipi kama vinasema kweli.

Nunua dawa acha ujuaji.
 
Back
Top Bottom