Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 5,450
- 16,382
Azithromycin zinatofautina ndicho alichosema ndo maana inakuwa recommended badala ya cipro, ndicho nilicho muelewa siju wewe ulitaka kumaanisha nini si ni kama panadol za kenya na TZAcha kupotosha watu ,tofauti ni brand tu ila zote ni azithromycine dihydrate, tofauti ya makampuni tu kama tigo na zain ...