Msaada wa Database na MySQL pliiiz nimekwama mwenzenu

Mafundi wenyewe wa kibongo ndio nyie!.safura na mahamaki tele.Ndio kweli mutaweza kupata jawabu?.

Ahahahahahaha Dah yaaani Jf kuna vituko sana siku hizi.. Watu wana hasira wanakuja kuzimalizia kwenye screen.

:becky:. Punguza hasira mkuu
 
Mkuu hii ndio imekubali /*$from = "From: ".Mafia" <"mafiakisiwani@yahoo.com.">";*/
nashukuru sana kiongozi,nitakugongea thanks mpaka basi nashukuru kiongozi
 
Mafundi wenyewe wa kibongo ndio nyie!.safura na mahamaki tele.Ndio kweli mutaweza kupata jawabu?.
Ami nashukuru hawa mafundi wamefanikiwa kulimaliza tatizo
 
Ni habari nzuri hizo Washawasha.Naamini jawabu haikutoka kwa wale wenye safura.

Waswahili tuna msemo mficha uchi hazai.Mwenzangu umevua nguo umepata mtoto.Mimi mwenzako nina tatizo kubwa kuliko hilo lakini bado naona aibu kufanya kama wewe.Wanipa ushauri gani?.
 
ushauri wangu kwako,unatakiwa uulize ndio utajibiwa bila kuuliza ni nani mwenye uwezo wa kujua kama una swali. Hata M/mungu anasema humjibu anayemuomba.
 
Back
Top Bottom