Mfanyakazi Hodari
Member
- Feb 4, 2013
- 14
- 0
Wadau Habari zenu, naomba msaada kwa anaefahamu kutatua tatizo langu, nina External HDD naifungua haifunguki namimi staki kui format kwakuwa kuna data za muhimu nazihitaji ntafanyaje ili ifunguke nizitoe hizo data?