Adolph Leonard
Member
- Oct 14, 2011
- 49
- 44
A..
alaf hiyo cv utaitumia kuombea kazi? Sasa ikiwa cv(kujieleza kwa maandishi) upo hooooiii je kujieleza wakati wa usahiliitakuaje? Anyway wadau msaidien jamaa.a'aleykum.waungwana naombeni msaada kama kuna mtu yoyote ana soft copy ya mfano wa cv anitumie ili niweze kutengeneza ya kwangu.plz nipostie kwa email hii adolphmsangi@yahoo.com natanguliza shukrani kwa msaada wowote.