Asante Sana,ngoja niwachekiUshauri : Jiunge na ONLINE PROGRAM YA COVENANT FINANCIAL CONSULTANTS, wapo Dar. Wako vizuri mno, unasoma ukiwa popote hata nje ya nchi +255713499621
Naona huku Kuna ushauri naendelea na kufuatilia mawazo yaoFuata miongozo humo Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane
Huu ni mji mkubwa,labda wadau waje watuambieKahama Municipal hahahah siamini kabsaa kama kuna hiyo Huduma
Try hapo.....niliona mda kidogo kwamba wataanzisha classes,,sasa sijui maana nilihama...[emoji28][emoji28]Wandugu habari za jumapili,naombeni msaada kwa anaejua kituo kizuri Cha CPA review kwa hapa kamaha anijuze,naombeni sana