allydasmartboy
Member
- Jul 14, 2018
- 36
- 7
Bugando umeomba nn?Me nimesoma PCB na matokeo yangu siyo maxuri saba ila asante mungu na asanteni sana kwa kunisadia kwenye post iliyopita nimesha apply SUA nimepata two ya 10 matokeo yangu ni CCD ktk chem bios na phy nimesha apply SUA MUHAS na BUGANDO sasa bado UDSM na UDOM je ni course gani nzuri ni apply katka vyuo hvyo kwa UDOM ni meona MD coz nursing sina hoby nayo kwa kwel naombeni msaada wenu wa course nzur katka hvyo vyuo
UDSM wildlife, geology, chemistry, biotechnology, food scienceBugando umeomba nn?
Mimi nakushauri tu kama kaka ako, UKIFANYA KOSA MOJA TU KWENYE KIPINDI UTAJUTA MAISHA YAKO YOTE.UDSM wildlife, geology, chemistry, biotechnology, food science
Kweli maana competition ni kubwaMimi nakushauri tu kama kaka ako, UKIFANYA KOSA MOJA TU KWENYE KIPINDI UTAJUTA MAISHA YAKO YOTE.
Ingekha vizuri ungesema kwenye hivyo vyuo umeomba kozi gan ili upate msaada...
Asante kwa ushauri tatzo course nying ya vyuo hvyo sizielewi vizur kama ukilinganisha na chuo cha SUA NA MUHIMBILI YAANI IN SHORT NDUGU COURSE ZA HAPO HATA SIZIJUI KABISA YAANI NDIO MAANA NIMEKUJA HAPA MNIPE COURSE AMBAZO NI marketable kwa sasa hvMimi nakushauri tu kama kaka ako, UKIFANYA KOSA MOJA TU KWENYE KIPINDI UTAJUTA MAISHA YAKO YOTE.
Ingekha vizuri ungesema kwenye hivyo vyuo umeomba kozi gan ili upate msaada...
Asante nduguuUsiombe udom MD hutapata jaribu nursing kijana...PCB mumefaulu mno....
mbona unajichanganya mkuuUDSM wildlife, geology, chemistry, biotechnology, food science
Me nimesoma PCB na matokeo yangu siyo maxuri saba ila asante mungu na asanteni sana kwa kunisadia kwenye post iliyopita nimesha apply SUA nimepata two ya 10 matokeo yangu ni CCD ktk chem bios na phy nimesha apply SUA MUHAS na BUGANDO sasa bado UDSM na UDOM je ni course gani nzuri ni apply katka vyuo hvyo kwa UDOM ni meona MD coz nursing sina hoby nayo kwa kwel naombeni msaada wenu wa course nzur katka hvyo vyuo
Kumbe na huku upo, nakuona kwenye siasa, anyway, biotechnology , molecular biology unaitumia wapi katika tanzania ambayo research at discovery level is almost zero, labda uwe sample collector scientist for Western labs! sijui unasemaje?Kwa UDOM ukiachana na kozi za MD, Nursing, Bsc. Chemistry na Bsc. in Aquatic science and aquaculture huwa "sionagi" kozi zingine zinazoweza kumfaa mtu wa PCB kwa kuzingatia mahitaji ya soko la ajira na kujiajiri kwa sasa, pengine labda mtu huyo (muombaji) awe anapenda kuwa mwalimu. (ongeza kozi za ualimu wa hayo masomo yaani muunganiko wa masomo mawili kati ya fizikia, kemia na baiolojia).
Kwa UDSM, tukiweka kigezo cha ushindani pembeni (keeping competition factor constant), kozi nzuri kwa mtu wa PCB kwa maoni, maono na mtazamo wangu ni:-
Food science and technology,
Molecular biology and biotechnology, Bsc. Chemistry,
Microbiology,
Aquatic science and fisheries,
na kwa mbali zikifuatiwa na kozi kama wildlife, applied zoology na pengine botanical science, plus or minus ualimu (kama nilivyoeleza hapo juu kwenye chuo kikuu cha Dodoma kuhusu hili la ualimu).
Karibu kwa lolote....
Kumbe na huku upo, nakuona kwenye siasa, anyway, biotechnology , molecular biology unaitumia wapi katika tanzania ambayo research at discovery level is almost zero, labda uwe sample collector scientist for Western labs! sijui unasemaje?
Na hizo zote ulizozitaja ni research institutions! or at sometimes they do research. Anyway, labs nyingi zinaweza zikawahitaji tatizo ni kuwa very little research is done at these institutions hasa due to lack of funding. na serikali hii haitoi hata senti moja ya research... upo hapo? wote uliowataja wanasuburi mshahara tu wa serikali, no funds to do research, kama zipo ni kidogo sana tena sana from outside.. collaborators .Huku ndiko nyumbani haswa mkuu, na ndugu yetu #Masiya.
Nimeiweka hiyo kozi hapo juu kwa kigezo kimoja tu cha uchache wa wataalam wa kada hiyo (inatolewa Üdsm pekee) ukilinganisha (with respect to) fursa zilizopo au zinazoweza kujitokeza na kuangukia mikononi mwao.
Kwa mujibu wa maelezo yao (idara hiyo, pale CONAS UDSM) ni kwamba mtu aliyesoma kozi hiyo ana uwezo wa kufanya kazi kwenye mamlaka zinazosimamia viwango kama vile TBS, TFDA, NEMC, taasisi za tafiti kama NIMR, na zile za kilimo kama TALIRI, ARI, TPRI n.k. Lakini pia kwenye taasisi za elimu kama academicians, idara za utambuzi (forensics) na kwingineko.
Mkiwa wachache kwenye tathnia basi uchache wenu ndio salama yenu. Nimeshawishika kuona hii inafaa kuwekwa kwenye orodha yangu ya kozi nzuri kwa mwana PCB.
Karibu...
Kwa muktadha wa mada tajwa hapo juu nadhani tufikie muafaka kwamba ama kozi hiyo ni nzuri kwa mwanaPCB ama la.Na hizo zote ulizozitaja ni research institutions! or at sometimes they do research. Anyway, labs nyingi zinaweza zikawahitaji tatizo ni kuwa very little research is done at these institutions hasa due to lack of funding. na serikali hii haitoi hata senti moja ya research... upo hapo? wote uliowataja wanasuburi mshahara tu wa serikali, no funds to do research, kama zipo ni kidogo sana tena sana from outside.. collaborators .
Kapata two ya kumi..ualimu ni last choice kwa upande wangu..bado anaweza kupata kozi nzuriApply Bsc in Education pale UDSM mbona utapata tuu bwerereeeee mie mdogo wangu alipata DIV III point 14 mwaka jana na aka apply sasa hivi anakula boom 100% na yuko mwaka wa pili sasa anakula bata tuu.sijui wewe unasubiri nini mwenzetuu
Najichanganya ninimbona unajichanganya mkuu
Asante ndugu kwa msaada wakoKwa UDOM ukiachana na kozi za MD, Nursing, Bsc. Chemistry na Bsc. in Aquatic science and aquaculture huwa "sionagi" kozi zingine zinazoweza kumfaa mtu wa PCB kwa kuzingatia mahitaji ya soko la ajira na kujiajiri kwa sasa, pengine labda mtu huyo (muombaji) awe anapenda kuwa mwalimu. (ongeza kozi za ualimu wa hayo masomo yaani muunganiko wa masomo mawili kati ya fizikia, kemia na baiolojia).
Kwa UDSM, tukiweka kigezo cha ushindani pembeni (keeping competition factor constant), kozi nzuri kwa mtu wa PCB kwa maoni, maono na mtazamo wangu ni:-
Food science and technology,
Molecular biology and biotechnology, Bsc. Chemistry,
Microbiology,
Aquatic science and fisheries,
na kwa mbali zikifuatiwa na kozi kama wildlife, applied zoology na pengine botanical science, plus or minus ualimu (kama nilivyoeleza hapo juu kwenye chuo kikuu cha Dodoma kuhusu hili la ualimu).
Karibu kwa lolote....