Msaada wa connection kazi

Waterbender

JF-Expert Member
Oct 2, 2018
6,828
8,685
Habari za sahizi wake kwa waume, kwa majina naitwa Frenk Robert nina miaka 24. Nitafuta kazi au mafunzo ya kujitolea walau na kanauli kwenye viwanda vyote vya vyakula mfano soda beer,samaki,nyama,maji,mafuta na unga wa ngano.

Pia kwenye maabala zinazo husiana na uchunguzi wa vyakula, na shughuli za usimamiz wa rasilimali maji,elimu na mafuzo ya ufugaji wa samaki kwa maji baridi.(fisheries expert and extentions worker) mwenye connection au wakunisaidia moja kwa moja na ushauri karibu natanguliza shukurani️🙏

Elimu yangu, Nina diploma ya fisheries/Uvuvi na kutoka chuo cha kati nyegezi mwanza(FETA) pia ni muhitimu wa degree ya food science and technology sua morogoro.Nina uwezo wa kati kutumia komputa,naongea na kuandika lugha ya kiswahili na kingereza.
 
Habari za sahizi wake kwa waume, kwa majina naitwa Msuya Timon Robert nina miaka 24.Nitafuta kazi au mafunzo ya kujitolea walau na kanauli kwenye viwanda vyote vya vyakula mfano soda beer,samaki,nyama,maji,mafuta na unga wa
Sasa umesomea uvuvi connection ya nini tena?
 
Habari za sahizi wake kwa waume, kwa majina naitwa Frenk Robert nina miaka 24. Nitafuta kazi au mafunzo ya kujitolea walau na kanauli kwenye viwanda vyote vya vyakula mfano soda beer,samaki,nyama,maji,mafuta na unga wa ngano.

Pia kwenye maabala zinazo husiana na uchunguzi wa vyakula, na shughuli za usimamiz wa rasilimali maji,elimu na mafuzo ya ufugaji wa samaki kwa maji baridi.(fisheries expert and extentions worker) mwenye connection au wakunisaidia moja kwa moja na ushauri karibu natanguliza shukurani️🙏

Elimu yangu, Nina diploma ya fisheries/Uvuvi na kutoka chuo cha kati nyegezi mwanza(FETA) pia ni muhitimu wa degree ya food science and technology sua morogoro.Nina uwezo wa kati kutumia komputa,naongea na kuandika lugha ya kiswahili na kingereza.
Weka namba ya M-PESA nikutumie hela ya kukusaidia kununua vifaa vya uvuvi
 
mtumbwi na machine yake na nyavu si chini ya million saba. na kwenye maji kuna utaratibu maana huko majin kuna selikari ingine
Sijaelewa chief hapo umemaanisha nini ...huko majin kuna selikari ingine ipi na unatumia utaratibu km upi?
 
ziwani kuna mambo ya hovyo hovyo sana, unaweza ukachonga mtumbwi wako ukaenda kuvua usirudi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom