kush moker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 579
- 367
Wakuu, hizi task bar sielewi nini kimetokea computer haipo katika hali yake ya kawaida. Msaada wenu tafadhali
CHIEF MKWAWA
kcamp
CHIEF MKWAWA
kcamp
Daah hii tatizo limenikumba leo, sema umeniokoa sana.View attachment 1518182
Ingia hapo kicha utaona tablet mode iweke off. Usisahau na hela ya soda ya kaka
Daah hii tatizo limenikumba leo, sema umeniokoa sana.