J josephmasamaki Senior Member Joined Apr 27, 2011 Posts 163 Reaction score 84 Nov 29, 2013 #1 Habari za jioni ya leo... Naombeni msaada wa kujua majina ya maduka ya Computer (Laptop) jijini Dar es salaam ambayo yana bei cheap (up to 600,000 TShs) kwa laptop mpya. Asanteni.
Habari za jioni ya leo... Naombeni msaada wa kujua majina ya maduka ya Computer (Laptop) jijini Dar es salaam ambayo yana bei cheap (up to 600,000 TShs) kwa laptop mpya. Asanteni.