Msaada wa computer aina ya Sony VAIO

Ndekirhepva

JF-Expert Member
May 18, 2012
371
44
wakuu nawasalimu, natafuta betri ya computer aina ya sony VAIO, model PCG-5J2L, nipo dar, mwenye kujua duka linalouza hizi bidhaa na bei zake jamani nimechoka kutumia laptop kama desktop, naombeni msaada wenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom