msaada wa code za kuformat nokia E5

msaada wa code za kuformat nokia E5

zima simu

bonyeza nyota (*) tatu (3) na kitufe cha kupigia simu then washa simu huku umevibonyeza
 
chief mkwawa hii inaapply kwa nokia zote au?..mimi simu yangu haionyeshi kitu kwenye gallery...kama vipi nilikuwa nafikiria niformat ..nikiformat siitakuwa kama mwanzo au kuna system files inabidi niziweke manually???
 
Yah nokia zote zenye button, kama ni touch screen hio ni case nyengine

Kumbuka kutoa memory card, utapoteza data zote
 
Kama touch isiyo na button bonyeza chakupigia chakukata simu na camera button
 
zipo touch nitofauti kidogo juc google kaka, kwani haiwaki kbsa?
 
hiyo formula ni ya symbian S60 3rd edition tu. Kama sio 3rd edition hatafanya
 
hiyo formula ni ya symbian S60 3rd edition tu. Kama sio 3rd edition hatafanya

Sio kweli kwa mkono wangu nimeformat nokia 5800 s60v5 then imekubali bila wasiwasi ni nokia yoyote bora iwe na operating system
 
nadhan hiyo formula inakubari kwa simu kuanzia s60 mkuu maana mimi kuna simu kibao za nokia uwa zinakataa hiyo kitu ngoja walete feed back
 
Back
Top Bottom