MSAADA WA CHARGER Panasonic Lumix DMC-TZ10

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,277
9,912
Nimejaribu kusunguka hapa mjini kwenye maduka kadhaa ya vifaa vya electronics nimekosa kabisa charger please kwa yeyeto anaiweza kupata Panasonic Lumix DMC-TZ10 charger naomba tuwasiliane kwa No. 0754827198

moz-screenshot.png
 
hapa mjini ndio wapi mkuu ? Server za Jf ziko USA admin wako bongo member wako kila sehemunchi mbali mbal duniani.

Anyway jaribu kungalia kitongoji hiki cha ebay.
Panasonic Lumix DMC-TZ10 charger | eBay This is global village. na ndio faida ya internet. U can buy anything anywhere.



Jaribu kusomaa na kuchat na huyu jamaa wa honkong http://cgi.ebay.com/Battery-Charger...=UK_Camera_Chargers_Docks&hash=item2a11d7e86c kama una paypal na detail zake ziko sawa malizana nao. within two weeks utapata . Maana kwenye shiiping details zake naona Tanzania ipo .
 
Back
Top Bottom