Msaada wa CCTV CAMERA

Msaada wa CCTV CAMERA

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
278
WanaJF mambo vp? Jamani naombeni kufahamishwa jinsi ya kufunga cctv camera au hadi ukapige kitabu?
 
Nivigumu kuelekezwa tu bila vitendo! An way ingia google sachi How to install the cctv camera unataja na aina ya camera hizo!
 
Nakushauri kama unavyo vifaa vyake vyote tafuta proffessional akufungie bila hivyo ukifanya kosa basi utaunguza camera au monitor
 
Unataka uiunge kwa kutumia monitor yake au kwa kutumia PC,je kama ni PC unataka uiunge kwenye server iwe jnatumia internet?
 
Mkubwa hapo sielewi chochote tafadhali naomba ufafanuzi wako
 
Tafuta Expert Mkuu akufungie ungekuwa na a b c walau tungekupa maelezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom