Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta broker mzuri Kwa hapa Tanzania.
Nimejifunza forex muda mrefu sasa nataka kufungua real account.
Natanguliza shukrani zangu kwenu wakuu.