Msaada wa blackberry

eliasy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
455
Reaction score
54
Jamani naomeni msaada katik bb yangu. mara ya kwanza ilikua inastaki. nikaiwaip ikawa inafanya kazi kama kawaida. sasa hvi imegoma kufanya kazi katika ile batani ya kati ya kusensi. sasa hivi hvi imegoma kusensi kabisa. nambeni msaada katika hili:A S-heart-2::A S-heart-2:
 
ila ni ajabu kufuta yenyewe namba za simu km ni kweli tatizo litakuwa in wadudu(virus) kwavile ina stuck msaada km wewe unaweza maujanja ya kuflash basi download os(operating system) zinapatikana kwenye mtandao vinginevyo nipigie nikupe maujanja 0717009369
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…