Z Z kama Z Member Joined Jul 6, 2011 Posts 60 Reaction score 10 May 1, 2012 #1 Hi Wakuu nimenunua black berry 9630 ila kuna tatizo moja nikiweka namba zile za kuiricharge yenyewe inapiga mpaka dakika hii sijaweka vocha tangia ninunue yaaani ni mballaa kwa anyefahamu anisaidie
Hi Wakuu nimenunua black berry 9630 ila kuna tatizo moja nikiweka namba zile za kuiricharge yenyewe inapiga mpaka dakika hii sijaweka vocha tangia ninunue yaaani ni mballaa kwa anyefahamu anisaidie
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 295 May 1, 2012 #2 inanembo ya kampuni gani sprint au? for time been ingiza vocha kwa kupiga
Z Z kama Z Member Joined Jul 6, 2011 Posts 60 Reaction score 10 May 1, 2012 Thread starter #3 drphone said: inanembo ya kampuni gani sprint au? for time been ingiza vocha kwa kupiga Click to expand... Ni sprint hiyo hiyo but nikijaribu kuingiza vocha kwa kupiga namba ninayopiga siyo sahihi
drphone said: inanembo ya kampuni gani sprint au? for time been ingiza vocha kwa kupiga Click to expand... Ni sprint hiyo hiyo but nikijaribu kuingiza vocha kwa kupiga namba ninayopiga siyo sahihi