B Bin S JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 400 Reaction score 659 Oct 15, 2024 #1 Habari za wakati huu GTs, Naomba usaidizi ni wapi wanauza chicken wire kwa bei ya jumla. Nipatikana Mwanza
Habari za wakati huu GTs, Naomba usaidizi ni wapi wanauza chicken wire kwa bei ya jumla. Nipatikana Mwanza
B Bin S JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 400 Reaction score 659 Oct 15, 2024 Thread starter #2 Tz buana,mambo ya Simba na yanga au kula tunda kimasihara yanafagiliwa sana
J Jamaa_Mbishi JF-Expert Member Joined Jun 15, 2013 Posts 10,185 Reaction score 7,368 Oct 15, 2024 #3 Bin S said: Habari za wakati huu GTs, Naomba usaidizi ni wapi wanauza chicken wire kwa bei ya jumla. Nipatikana Mwanza Click to expand... Kwa kweli hapa itabidi uende maduka ya ufugaji tu, kuuliza wana Simba na Yanga ni kazi bure.
Bin S said: Habari za wakati huu GTs, Naomba usaidizi ni wapi wanauza chicken wire kwa bei ya jumla. Nipatikana Mwanza Click to expand... Kwa kweli hapa itabidi uende maduka ya ufugaji tu, kuuliza wana Simba na Yanga ni kazi bure.
X Xharp Member Joined Sep 13, 2018 Posts 63 Reaction score 78 Oct 16, 2024 #4 ipo around 110k kwa roller ile ambayo galvanized