Msaada wa bati zenye migongo mikubwa

MKOBA2011

Senior Member
Jul 12, 2011
142
27
Wanajamii habari naomba mwenye uelewa na bei ya hizi bati zenye migongo mikubwa anijuze tafadhali nasikia wanauza kwa mita ni kweli na bei yake ni shilingi ngapi?
 
Ndg yangu nenda ALAF pale TAZARA utapata aina mbalimbali za mabati ya migongo mipana na migongo binuka, rangi na gauge tofauti pamoja na bei zake. Naamini utakata kiu yake. Sikushauri kwenda kwa madalali!
 
mkuu bati linategemeana na geji!ukitaka geji 30 kuna bei yake na geji 28,26,24 yote bei zake zinatofautiana!kutokana na mfumuko wa bei huwez jua bei now,manake last yr nilinunua geji 26 mita ilikua elfu 13
 
Back
Top Bottom