Msaada wa bati zenye migongo mikubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa bati zenye migongo mikubwa

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by MKOBA2011, Apr 14, 2012.

 1. MKOBA2011

  MKOBA2011 Senior Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajamii habari naomba mwenye uelewa na bei ya hizi bati zenye migongo mikubwa anijuze tafadhali nasikia wanauza kwa mita ni kweli na bei yake ni shilingi ngapi?
   
 2. n

  naivasha Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 94
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ndg yangu nenda ALAF pale TAZARA utapata aina mbalimbali za mabati ya migongo mipana na migongo binuka, rangi na gauge tofauti pamoja na bei zake. Naamini utakata kiu yake. Sikushauri kwenda kwa madalali!
   
 3. s

  sithole JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  mkuu bati linategemeana na geji!ukitaka geji 30 kuna bei yake na geji 28,26,24 yote bei zake zinatofautiana!kutokana na mfumuko wa bei huwez jua bei now,manake last yr nilinunua geji 26 mita ilikua elfu 13
   
Loading...