Msaada wa Bandwidth manager OS kwa ajili ya ISP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Bandwidth manager OS kwa ajili ya ISP

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Michael Amon, Jan 24, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu wa Operating system nzuri ya bandwidth Manager kwa ajili ya ISP. Kwa upande wangu mimi naifahamu moja tu ambayo inaitwa ET/BWMGR inayotengezwa na kampuni moja ambayo inaitwa Emerging Technlogies Inc. ila sidhani kama hiyo OS ni nzuri sana. Naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu wa Operating system nzuri ya Bandwidth manager.
   
 2. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,236
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  mkuu sijakuelewa vizuri unachohitaji ni 'Operating System' kama Windows 7,XP, Ubuntu? au ni software ya kawaida ya kuManage Bandwith kwa ISP's? kama ni software, kuna hii inaitwa Bandwith Controller Enterprise v1.21 ni nzuri,,torrent file yake pamoja na crack hiyo hapo chini,,
   

  Attached Files:

 3. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Sijajua kama hiyo bandwidth manager ni application software au operating system software. ila mimi najua kuwa ni operating system software. mimi ninahitaji hiyo software kwa ajili ya ISP ambayo inawea kumanage bandwidth kwa wateja wake
   
Loading...