tricecriss
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 225
- 59
Habari zenu wakuu. Kuna ndugu yangu aliomba kazi kampun flan ambayo makao makuu yake yako canada. Sasa hivi karibun akatumiwa email pamoja na online interview na akaelezwa kuwa awe tayari kwenda training canada kabla ya kaz kuanza akawajibu sawa wakamtumia form mbali mbali akazijaza akazituma sasa jana wa wa immigration wa huko canada wakamtumia email kwamba anatakiwa akipie $489 kwa ajili ya hiyo clearance na certification.
Sasa swali lipo hivi je upatikani wa hiyo clearance na certification upoje na kwa waliowahi kuomba kaz njee utaratibu upoje?
Samahanini kwa gazeti
Sasa swali lipo hivi je upatikani wa hiyo clearance na certification upoje na kwa waliowahi kuomba kaz njee utaratibu upoje?
Samahanini kwa gazeti