Msaada wa application awamu ya pili

Msaada wa application awamu ya pili

THE MAYA EMPIRE

Senior Member
Joined
May 6, 2018
Posts
106
Reaction score
149
Habar wanajukwaa

MOJA=Nawaombeni mnisaidie jinsi ya kulipia udom,napewa control number lakin sijui namba ya kumbukumbu ni ipi,naomba msaada hapa

JE NAMBA YA KUMBUKUMBU YA KULIPIA MAOMBI UDOM NI IPI KAMA UMEPEWA CONTROL NUMBER?????

MBILI==OAS ZA VYUO VYA ST JOHNS UNIVERSITY OF TANZANIA,ST AUGUSTINE NA MAKUMIRA HAZIFUNGUKI,JE HILO TATZO LIPO KWANGU TU NA KAMA LIPO KWANGU NAWEZAJE KULUTATUA?
 
kwa sasa hivi zinakubali jaribu
 
Naomba msaada nilipeleka barua yangu tcu kucancell jina la chuo nilikua nasoma awali kwasababu za kiuchumi mnamo tarehe9.8.2018,,,Cha ajabu nmeapply chuo kingne nawaambiwa Bado ninacode namba ya chuo Cha mwanzo na nikofanya mawasiliano na tcu hata hawanipi jibu sahihi naomben msaada mwenye kunisaidia niweze pata chuoo.
 
Udia clearance
 
Kama bado unapata tabu jinsi ya kulipia fanya unichek 0657893565
 
kurudia mara ya pili udom kunakulipia tena ?
 
Sorry, kwa mliofungua tovuti ya UDOM kuomba kwa mara ya pili, kozi ya Udaktari wa binadamu (MD) inaonekana? Naomba mnisaidie kuiangalia
 
Back
Top Bottom