Fawa iko overloaded sana servers zake
Siku hizi tunaangalia mechi kwenye site ambazo ni unpopular ndio tunapata streaming nzuri bila buffering za kijinga kijinga.
Hiyo Fawanews ukiwa unaangalia tukio la mchezaji kwenda kufunga goli utaona hapo hapo inaanza ku load, vinginevyo labda iwe mechi ndogo ambayo haiangaliwi na watu wengi.