Usiogope as long unajaribu haina neno watu wasichotaka ni kuongea pumba
Apn- inasimama badala ya access point name kwa tanzania apn hii hapa INTERNET inatumika access point zote so mtandao wowote ukieka hio itakubali
Ishu ya username na password hua inabaki kama ilivo yaani blank
Kuna aina 3 za setting ambazo mitandao wanato
-wap
-mms
-web(internet)
Katika web au internet ukieka apn INTERNET inatosha ila wap na mms ndo zinakua na hio ip au proxy server