Msaada wa anayefahamu amo training centre tanga

Sasa hcho cha Bombo kipo ndani ya Hospital ya Bombo au kwa nje
Amo training centre ni tofauti na Bombo school of nursing japo zote nipo tanga, Bombo school of nursing ipo bombo area ( karibu na bombo hospital ) Amo training centre ipo 12 street ( barabara ya 12)
 
Back
Top Bottom