Msaada wa adobe pdf

Msaada wa adobe pdf

mbupupu

Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
90
Reaction score
11
wana jf naombeni msaada na simu yangu ya nokia N97 kila nikijaribu kufungua adobe rider inagoma inaniambia expired naombeni msaada jamani
 
Tafuta cracked adobe pdf andika na aina ya simu yako
.
.
mbona zipo hata phoneky, au quick office mpya inafanya mambo meng tu kama hayo ya pdf...
.
 
Download mpya...

.
toka nokia wazi telekeze symbian ni apps developers wachache ndio waliendelea kutengeneza apps za symbian...
.
hata adobe sidhani hata pdf nadhani hakuna mpya bali ni zile series za 2010/2011
.
lakin inayomkatalia nahis ni iliyokuja na simu... ILA AKI DOWNLOAD HIZ NYINGNE ZITAPIGA KAZ KAMA KAWAIDA

website gani naweza kutumia?
 
website gani naweza tumia kudanwload

.
ingia phoneky
, hata mobile9 na nyingne zipo IT dunya
.

ila kama huja hack simu yako una hati hati ya kuzikosa
angalia za BNPDA ni unsigned
.
na nokia walifanya ujinga sana kwenye symbian
.certificate error contact the application supplier
.
.
 
Back
Top Bottom