Msaada wa adminstrator rights katika installation ya software licence ya Arc GIS 9.3

Msaada wa adminstrator rights katika installation ya software licence ya Arc GIS 9.3

achengula

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2009
Posts
369
Reaction score
63
Wa JF, nimeinstall Arc GIS 9.3 sasa katika harakati ya kuingiza licence (ni ya kuchakachua) naambiwa “Failed to change FLEXIm Licence Server. You need to be an administrator to perform this function”. Msaada nifanyeje maana nime log in kama administrator, naihitaji sana hii software kwa kazi zangu.
 
Go to Start, Programs, Accessories, and right-click on the command prompt and choose Run as Administrator.
runasadministratorcommandprompt-thumb.png

Now at the command prompt type the following command:
net user administrator /active:yes
​
Press Enter and restart your computer.
Now try to perform the task again that gave you the "You do not have permission" error.
😛ray2:
 
njia rahisi:

unapofungua hiyo program fungua kwa ku right click kisha chagua open as administrator, ikija ka window hapo weka yes thena endelea na licence zako...
 
Nashukuru sana kwa msaada wenu japo sijafanikiwa kuinstall hiyo licence lakini nimepata elimu pia
 
Back
Top Bottom