chazdlamarck
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 256
- 95
Dogo unadhan a level material zake ni 10000 kama o level haha pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo unadhan a level material zake ni 10000 kama o level haha pambana na hali yako
Dogo ana dharau, sijui alitaka atajiwe bei ya vitabu vya Kiswahili.Sawa mkuu kama siko mzima
Acha dharau, unasaidiwa lakini bado unaleta upuuzi. Unalinganisha vitabu vya Sayansi na Ngoswe?Seriously hauko mzima
Kumbe nawe umeligundua hili, atutake radhi.aliyeanzisha mada hii kuna kila dalili hana adabu, anamparamia kila mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app














