msaada w a sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada w a sheria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by congobe, Jun 1, 2012.

 1. congobe

  congobe JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  huyu jamaa mpiga picha ,tumefanya mkataba baada ya kuwa kazi imekwisha fanyika order yangu ni picha 100 tu, katoa picha 165 tumekwenda polisi nika notes kitu jamaa wana force nimlipe tu kwa kuwa ashafanya kazi walichoni kwaza police ni kunitamkia kwamba hata nikienda mahakamani mi sina haki ya kudai ,ndipo sasa nikaona huu ni utani ka kuwa wanmfahamu sana jamaa hivyo wanataka nimlipe tu,so mkataba unasema picha ni 100 na 65 zimeongezeka na bada ya hizo kuongezeka hapatakuwa ongezeko lolote la picha na shahidi yetu ni afisa wa police , je imekaaje hii ? man ndugu.
   
 2. mka

  mka JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 318
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkuu, huo mkataba wa picha 100 upo kwa maandishi? Je ameshakupa hizo picha 100? Kama majibu ni ndio unaweza kutomlipa pesa zaidi ya zile ambazo mlikubaliana. Kama hajakukabidhi picha 100 unaweza mdai na kumfungulia kesi akupe hizo picha zilizobaki (order of specific performance). Pia usipokee hizo picha zilizozidi maana ukizipokea mahakama inaweza kusema ulikubali kwa matendo (implied you agreed to the extension of the contract) na hivyo kusema uzilipie. Pia hili ni shauri la madai hukupaswa kwenda polisi, polisi sio mahakama na mara nyingi huwa hawajui sheria za madai zipoje. Usiogope kwenda mahakamani huko wataangalia ushahidi uliopo na kutoa uamuzi.

  Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
   
 3. congobe

  congobe JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2012
  Joined: May 31, 2012
  Messages: 499
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu kweli picha 165 alinipa kwa sharti la kuzilipia zilizozidi pia ,na nililipia picha 30 kwa makubaliano ktk mkataba kwamba zilizozidina kwamba ningalilipia 35 zilizobakia pia japo ni kwa shinikizo toka police kwa mazingira hayo nilokwasha eleza na mkataba wetu umeainisha haya kwamba picha ni 100 ndo makubaliano ili hizi 65 zimezidi na hapatakuwa na ongezeko lolote la picha tena ,si ndio nafika nyumbani kwangu baada siku 2 huyu defendat anatuma mtu nyumbania kwangu nimpe picha huyu binti ,binti kasema alikwisha mlipa pesa ,na picha zingine ameuza kwa watu wengine na zipo wako tayari kuzitoa mahakamani ,kwa hili pia mi nikamwambia umelazimisha nikulipe picha wakati huohuo unauza picha zangu kwa maana alifanya dubliceting labda ,kuna DPP jamaa yake ndo alimwandikia reply ya demand note yangu kwamba hanitambui mimi ,anamtambua mke wangu kwamba ndo alomlipa pesa za picha ,ilkhali hana mkataba na mke wangu ,wife anafahamu tu mabo yalivyo kwa kuwa issue ilikuwa ni send off yake na hata huko police nilipoitwa tulikuwa pamoja na wife wangu,tulidhani police wangeleta haki kumbe ndo hamna kitu.
   
Loading...