vipo vyuo kibao ndugu yangu tumia internet vizur. we google vyuo vinavyotoa diploma coz ya afya utaona vingi tuu tena kama ulipiga vizur o level na uhakika una pata vya serikali vya bei ndogo kama unapenda. mungu akubariki. ila mkuu hapa kanichekesha sana. hongera sasa naona umeelewa. AMO iyo ini higher/advanced diploma so lazma uwe na ordinary diploma mfano clinical officer. inatolewa tanga pia muhimbili na baadhi ya vyuo inatolewa sema iyo lvel naskia itatolewa soon coz haitambuliki internationally me mama yangu ni nurse huwa ananipa info. vp mzee ulipiga gpa ya ngap? na kombi gan. mwenzio nimeacha hayo mambo ya afya sasa niko computer science software engineering rucu.