Msaada: Vyeti vinatofautiana majina

Msaada: Vyeti vinatofautiana majina

mnadas

Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
27
Reaction score
19
Naombeni msaada wenu kimawazo. Cheti changu cha kuzaliwa kina jina tofauti na vyeti vyangu vyote vya shule kuanzia S/m had form six ( Hivi vina majina sawa isipokuwa vinatofautiana na kile cha kuzaliwa!)
 
Tafuta cheti kingine cha kuzaliwa kitakacho fanana majina na hivyo vingne
 
Naombeni msaada wenu kimawazo cheti changu cha kuzaliwa kina jina tofauti na vyeti vyangu vyote vya shule kuanzia s/m had form six ( hv vna majna sawa) icpokua vnatofautiana na kile cha kuzaliwa!
Kale kiapo mahakamani kua yote ni majina yako na kila utakapohitajika kutoa au kuoneaha vyeti vyako utakuwa ukionesha na nakala ya hiko kiapo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Kabadilishe cheti cha kuzaliwa
hilo ndo linawezekana kwa urahisi
 
Naombeni msaada wenu kimawazo. Cheti changu cha kuzaliwa kina jina tofauti na vyeti vyangu vyote vya shule kuanzia S/m had form six ( Hivi vina majina sawa isipokuwa vinatofautiana na kile cha kuzaliwa!)
nenda mahakama yyt iliyopo karibu na wewe ukaape kuwa yote ni majina yako.
hata mimi ilinitokea nikaenda pale temeke karibu na uwanja wa taifa yani ni kitendo cha kama dakika tano halafu haina garama hata 5000 haifiki. nakushauri nenda kale kiapo fasta tu
 
kama unashida ya fasta tafuta wakili msomi akufanyie iyo kazi au nenda mahakamani kula kiapo, kama issue sio ya haraka nenda omba cheti kipyq yote uwezekana
 
Chukua Leaving ya Form IV peleka RITA(wanakotengenez vyeti) waambie unahitaji cheti cha kuzaliwa wanakutengenezea, maana ht miaka ikpishana kweny vyet n kosa.
 
Back
Top Bottom