Adsl na fiber huku kwe2 bado cjaona Ila Voda bei iko high sana brooKwa Sasa hamna ila option hapo ni ttcl adsl , ama zuku fiber ama prepaid ya mitandoa ya Voda,tigo na airtel
15GB si inafika 30,000 au 40,000 kbsa?Lipia bando za busness TIGO na Airtel USD 15 GB zaidi ya 30 kwa mwezi
Pitia Uzi wa vifurushi Kuna mwamba anaunga vifurshi vya business ambavyo NI nafuu kiasi15GB si inafika 30,000 au 40,000 kbsa?
Elf30 GB zaidi ya 3015GB si inafika 30,000 au 40,000 kbsa?
Poah ntawacheki15GB si inafika 30,000 au 40,000 kbsa?
Cfg nshataft san broo nimekosa mi nilijua nikilipia speed itakua at least 500kbps lkn haivuki 200 na bado Inaji disconnect kila muda an shda tupunanilikua natak uzi wa mambo haya coz nimewahudumia.wat lakn.shida ;ni cfg
Iyo pre paid ipoje? Bundle unlimited?Kwa Sasa hamna ila option hapo ni ttcl adsl , ama zuku fiber ama prepaid ya mitandoa ya Voda,tigo na airtel
Oy niaje noamba nisaidie file la .cfg. Nichek watsup 0628645170
Hii ni kifurushi cha bei gani?