Msaada Von refrigerator

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,314
10,017
Wakuu habar.
Kuna mtu anataka kuniuzia fjiji Aina ya Von milango miwili. Ni friji dogo.

Sasa sina utaalam na friji na hata muuzaji hafaham linatumia unit ngap Kwa siku.

Mwenye kujua Kwa kuangalia specification hizi anisaidie.

IMG_20211130_093526.jpg
IMG_20211130_093515.jpg
IMG_20211130_093515.jpg
 
Tumia submeter utajua inatumia unita ngap?

Au kama umepanga waambie wengne wazime kila kitu kwa saa limoja utajua umeme umetumia kiasi gan then uta multiply kwa masaa 24
 
Kwa sababu hawajatoa power consumption we will use rated current and rated voltage to get the power.
Yaan P= V x I..whereby
p= power
V= Voltage
I= Current

Given
V= 220V.. tunachukua hii kwa sababu umeme wetu mara nyingi haufiki 240V
I= 1 A
Hence, P= 220 x 1
Thus P= 220Wats
sasa tunataka kuangalia friji letu linatumiajee umeme according to manufacturer,
Tutaconvert W into KW
1Kw= 1000W
? = 220 W
Thus tutapata 0.22Kw as power consumpution.
Thus power consumption in 1 hr= 0.22 x 1hr
Thus friji lako linatumia unit 0.22 kwa saa

Lakin umeme wa Tanesco unakua charged into KwHrs. Hivyo basi mfano ukiwasha friji hili kwa masaa 12

Then unit zitakua = 0.22kw x 12hrs
= 2.64KwHrs
kwaio kama utaliwasha kwa masaa 12 kwa siku bila kuzima litabugia unit 2.6 kwa siku.

Nawasilisha mkuuu
 
hujaweka power factor, izo 220 Watts zinashuka, fridge pf inagonga kwa 0.5 - 0.7 pf, effective Watts inafikia 130W
 
Kwa makadirio compressor ya hiyo friji itakuwa na 50Watts. , Tuna Assume mlango wa friji unakuwa umefungwa kwa hiyo taa ya ndani yenue 10Watts imezimika.

50W ÷1000 = 0.05KW
Kwa saa moja friji inawaka kwa dakika ~5 na kuzima kwa dakika ~20

Kwa mantiki hiyo: kwa saa moja friji itawaka takriban mara tatu (3) ambayo ni sawa na dakika 15.

Katika siku, kuna saa 24, na kama kwa saa moja friji itawaka kwa dakika 15 basi kwa saa 24 itakwaka kwa dakika 15 x 24 = dakika 360.

Dakika 360 ni sawa na saa 6 .

Kwa hiyo power ya friji katika KiloWatts 0.05 x 6 = 0.3 Units

----------------------------------------------------------------
Utatumia wastani wa 0.3 Units kwa saa 24.
----------------------------------------------------------------
 
Back
Top Bottom