Msaada: Vigezo vya kuapply higher diploma

Msaada: Vigezo vya kuapply higher diploma

Blank page

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2015
Posts
6,222
Reaction score
6,428
Jinsi ya kuapply higher diploma na vigezo vyake kwa mtu aliyemaliza form six PCM.

Ni course zipi nzuri kuapply?
 
Jinsi ya kuapply higher diploma na vigezo vyake kwa mtu aliyemaliza form six PCM.

Ni course zipi nzuri kuapply?
Kupata Higher Diploma....lazima uwe Diploma Holder na uwe admitted tayar kusoma Bachelor, ndo unaweza kuishia kwenye level ya Higher Diploma.....kama ni form six leaver, lazima uanzie Ordinary Diploma (3yrs) alafu uombe bachelor, ushie bachelor mwaka wa pili katika vyuo kama DIT, MUST au ATC
 
Jinsi ya kuapply higher diploma na vigezo vyake kwa mtu aliyemaliza form six PCM.

Ni course zipi nzuri kuapply?
mkuu hzo higher diploma zinakujaga kama dharura tu na vigezo ni vya kujiunga na bachelor so kwa kozi za miaka 4 ukiishia mwaka wA tatu ndo unakuwa awarded na hyo kitu na zle za miaka mitatu unatoka mwKa w pili
 
Back
Top Bottom