Msaada: Vidonda vya Tumbo

Msaada: Vidonda vya Tumbo

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,493
Reaction score
2,017
Tangu juzi yaan Alhamis nmekutwa na vidonda vya tumbo nmepatiwa dawa lakn nnaona kama hazinisaidii. Nnaomba mwenye kujua Dawa inayoweza kuniponya anisaidie jaman.
 
mpigie huyu 0754446724 atakujulisha n mtaongea mengi
 
Bado nipo kwenye utafiti wa dawa,soon ntaleta mrejesho
 
Taja vitu vinavyokupa stree tukusaidie kuepuka. Hicho ndio tatizo
Pia ukiendelea na dawa unapona kabisa mkuu
Tangu juzi yaan Alhamis nmekutwa na vidonda vya tumbo nmepatiwa dawa lakn nnaona kama hazinisaidii. Nnaomba mwenye kujua Dawa inayoweza kuniponya anisaidie jaman.
 
Nenda hospitali,huku utageuzwa kuwa fursa tu,na mwaka unaelekea ukingoni.
 
Back
Top Bottom