Habarini wakuu...
Natafuta software ya kuedit video. Nimejaribu kutumia wax, Windows movie maker lakini zinasumbua kusave na kufungua baadhi ya format za video.
Naomba mnisaidie software ambayo itakuwa rahisi kwangu beginner katika kunipatia uzoefu.
Kuna pinacle, adobe premier, sony vegas, magix na wengine lakini Wondershare video ni simple, fast na ni program ndogo sana kwa wanaotaka simple editing