Wadau nakuja jamvini hapa hasa kwenye jukwaa ili la mateknolojia kuomba msaada wenu mmoja tu,nao ni kua naomba kujua je naweza kuinstall Viber kwenye simu yangu ambayo ni nokia 5130 express music?nimejaribu lakini naona kuna sehemu inakwama sasa sijajua ni twezo wa simu au nini,na mimi sio mtaalam kabisa wa mambo hayo!