msaada viambata hatari kwenye vipodozi

lukme

Senior Member
Apr 18, 2012
191
24
habari wana jf. naomba msaada kwa wanaojua aina ya viambata hatarishi kwenye vipodozi. kama yupo anaezifahamu naomba aviweke hapa kwa manufaa yetu wote. nawasilisha
 
Back
Top Bottom